RMOP Tanzania Logo

Nia za Sala za Baba Mtakatifu – 2026

Nia za Sala zilizokabidhiwa kwa mtandao wa Sala wa Kanisa kwa mwaka 2026. Chagua mwezi kutafakari na kusali.

Januari

Kwa ajili ya kusali kwa kutumia Neno la Mungu

Februari

Kwa ajili ya watoto wenye maradhi yasiyotibika

Machi

Kwa upokonyaji silaha na amani

Aprili

Kwa ajili ya mapadre wenye changamoto

Mei

Kwamba kila mtu awe na chakula

Juni

Kwa ajili ya umuhimu wa michezo

Julai

Kwa ajili ya heshima ya maisha ya binadamu

Agosti

Kwa ajili ya uinjilishaji mjini

Septemba

Kwa ajili ya utunzaji wa maji

Oktoba

Kwa ajili ya utume wa afya ya akili

Novemba

Kwa matumizi sahihi ya mali

Desemba

Kwa ajili ya familia zenye mzazi mmoja